November 11, 2018


Nyumba inamodaiwa kufichwa Mohamed Dewji mara baada ya kutekwa Okotoba 11, 2018 katika Hoteli ya Colessium imegundulika na imeoneshwa leo na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Mambosasa.

Nyumba hiyo ipo Mbezi Beach, mtaa wa Mwansasu jijini Dar es salaam. Imeelezwa watekaji walipanga nyumba hiyo kwa dola 1500, walikuwa ni raia wa Afrika Kusini na kwamba baada ya kuachia na kumtelekeza katika viwanja vya Gymkhana waliondoka nchini.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic