Timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars inatarajiwa kushuka dimbani Jumapili hii ugenini kuikabili lesotho katika mwendelezo wa mechi za kufuzu mashindano ya Mataifa ya Afrika yatakayofanyika mwakani nchini Cameroon.
Mchambuzi wa masuala ya soka Mwalimu Alex Kashasha ameuchambua mchezo huo na kutoa takwimu juu ya timu zote mbili na umuhimu wa mchezo huo kwa Stars.
0 COMMENTS:
Post a Comment