Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limetangaza kumfungia mwanamuziki Nasibu Abdul na Rayvan kutokana na kutendo chake cha kupuuzia.
Basata imesema Diamond na Rayvan wamepuuzia na kuendelea kuutumia wimbo wa “Mwanza” maarufu kama Nyegezi katika shoo zake za Wasafi Festival.
0 COMMENTS:
Post a Comment