Aprili, 2013, Mwezi mmoja baada ya kipigo cha mabao 4-1 kutoka kwa Dortmund chini ya Jurgen Klopp, Mourinho akatimuliwa Real Madrid.
Miaka miwili baadaye Chelsea ikamtimua Mourinho baada ya kufungwa mabao 3-1 na Liverpool pale Stamford Bridge.
Sasa Klopp kaiongoza tena Liverpool kuitwanga Man United 3-1 na Mourinho kafutwa kazi!
0 COMMENTS:
Post a Comment