Taarifa kutoka ndani ya Manchester United zinaeleza Kocha Jose Mourinho ametimuliwa kazi tayari.
Mourinho amefukuzwa kazi baada ya kipigo cha mabao 3-1 kutoka ya Liverpool.
Anaondoka ndio droo ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ikiwa imetangazwa na Manchester United imepangwa kucheza dhidi ya PSG.
Mourinho watamlaumu bule tu hata wachezaji wao wameshachoka
ReplyDelete