December 27, 2018

5 COMMENTS:

  1. Hivi unamuachaje makambo hapo halafu unamuuingiza yule miguvu kagere weka watu wenye akili zao humo

    ReplyDelete
  2. Mtazamo wake huo
    Chukua hii
    4:2:3:1
    Kipa; Razak abalola
    Beki; kapombe, kangwa,
    nyoni na yondan
    DMD; mkude na Feisal
    ADF; ajibu, chama na HD
    CF; Ambokile au makambo

    ReplyDelete
  3. Jamani mbona munataka kuipa yanga homa. Sifikiri kama Ajib na Yondani kweli watarejea nyumbani kwasababu wengi wanajigamba huku mitaani kuwa wachezaji wa yanga wana uzalendo na mapenzi ya hali ya juu kinyume na wachezaji wa timu nyenginezo kuwa wameridhia kubakia katika timu hiyo yao hata bila ya malipo ya stahaki zao

    ReplyDelete
    Replies
    1. We bwege jaribu kujiongeza, Manara amekitaja kikosi bora cha ligi siyo cha Simba

      Delete
  4. kama Boko yupo ndani hicho sio kikosi bora si ajabu kina Manara ndio wanashikiniza Boko apangwe wakati uwezo umepungua

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic