December 28, 2018


Kipindi cha Spoti Hausi jana kilikuwa hewani ambapo wachambuzi wako walikuchambulia kwanini Simba wameondolewa kwenye michuano ya FA, na sasa wanatakiwa kufanya nini ili kushiriki michuano ya kimataifa mwakani.

Lakini pia muendelezo wa Ligi Kuu Bara Tanzania Bara Yanga wakiwa wameiacha Simba kwa pointi 17 ambazo ni nyingi sana, pia muendelezo wa Ligi Kuu England, na kasi ya ufungaji wa Cristiano Ronaldo kwenye ligi kuu italia.

Fuatilia uchambuzi HAPA

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic