KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA NKANA, LIGI YA MABINGWA AFRIKA, HIKI HAPA Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Nkana Red Devils leo hiki hapa
kocha mbishi, nimeona jana baadhi ya walimu wa mpira wanashauri achezeshe washambuliaji wawili. ila tuombe kwa mungu tushinde tu leo kwani najua hali halisi itakayokuwepo ikiwa tutafungwa
ReplyDeletekosa kubwa ni kutomtumia mchezaji na beki tegemeo wa tim ya Taifa ya Uganda JUUKO MURSHID!!
ReplyDelete