December 3, 2018


Mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Simba wamefanya mazoezi yao ya kwanza wakiwa nchini eSwatini.

Simba wako nchini humo tayari kuwavaa Mbabane Swallows katika mechi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Katika mchezo wa kwanza, Simba walishinda kwa mabao 4-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wanalazimika kupata ushindi au sare ili kusonga mbele matika mechi itakayochezwa kesho.


Kama Simba watakubali kipigo basi angalau wawe na bao na kama itakuwa ni 3-0, basi Simba ndio watakuwa wameng’olewa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic