SIMBA WAIBUA MSALA MZITO ZAMBIA
Kikosi cha Simba jana kimewasili salama jijini mjini Kitwe huko Zambia tayari kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nkana Red Devils utakaopigwa Jumamosi ya wiki hii.
Simba wametua na kuanza mazoezi ya kufa mtu kuelekea mechi hiyo ya hatua ya kwanza kuwania taji hilo ambalo wameagizwa na Rais John Pombe Magufuli.
Akizungumza moja kwa moja Kitwe, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, ameeleza kila kitu kinaenda vizuri na Kocha Patrick Aussems amezidi kuwapa mazoezi wachezaji.
Licha ya kutua salama, viongozi wa Simba walifanikiwa kukutana na mabosi wa Power Dynamos, klabu ambayo kiungo matata na fundi Clatous Chama alisajiliwa.
Viongozi hao ambao ni wapinzani kwa upande wa Nkana walikituna na kujadiliana mambo kadhaa japo haijajulikana walizungumza kipi haswa.
Sasa kama haikujulikana walizungumza kipi haswa huo msala mzito waliouibua ni upi?
ReplyDeleteWaandishi wa blog hii hawajielewi kazi kusambaza udaku tu usiokuwa na kichwa ala miguu
ReplyDeleteHii blog haina jipya inabuni tu na kujiropokea kichwa cha habar tofauti sasa huo msala mzito ni upi duuu!
ReplyDeletePumbavu sana nyie...sasa hapo huo msala mzito uko wapi??Shubaamit...$&@#€£**¥
ReplyDeleteWawe makini tu kuna wengine wajanja inakua nchi kwanza upinzani baadae
ReplyDelete