Tazama dakika za beki mpya wa Simba, Zana Coulibaly, namna alivyokiwasha katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza dhidi ya KMC FC, mechi ilimalizika kwa Msimbazi kushinda jumla ya mabao 2-1.
Kwa wasomaji wa Blog yetu pendwa ya michezo hakikisha una nifollow INSTAGRAM kwa kubonyeza link iliyopo hapo Juu tutakudodoshea Upates zote za michezo kuanzia sasa.
Asante
BONYEZA HAPA ===> SALEH JEMBE SPORTS
msimkuze sana kwani wote tumemuona, anahitaji muda kuweza kumchambua vilivyo lkini mimi nimemuona ni mzito na anakaba ka macho saa, kingine stamina yake ilikua kipindi cja kwanza kipindi cha pili hakupanda kabisa .......positive kwake ni kwamba anapiga ndizi za hatari ambazo Bocco atafunga sana
ReplyDeletePoor video as if mnajifunza. Kama mnafanya business you must improve. Ushauri wa bure.
ReplyDeleteCoulibaly yupo vizuri watakaobeza waache wambeze laniki kijana ni masnhine hasa. See
ReplyDelete