December 5, 2018


Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) kupitia Kamati ya Maadili ya Shirikisho hilo ilimfungia maisha, aliyekuwa Makamu wa Rais wa shirikisho hilo Michael Wambura. 

Hali ilipelekea Wambura kukataa rufaa mahakamani ambapo mahakama kuu ilitengua uamuzi huo.

Wambura alifika katika ofisi za TFF kwa lengo la kurudi ofisini kama ilivyoamuliwa na mahakama kuu ya Tanzania tarehe 30 Novemba 2018. 

Akizungumza na waandishi wa habari Wambura alisema amefika ofisini hapo kukiwa na taarifa zake kutoka mahakama kuu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic