December 1, 2018


Baada ya kuwatembezea kichapo kitakatifu Mbabane Swallow, juzi Jumatano kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, kikosi cha Simba kinatarajia kuwafuata wapinzani wao keshokutwa Jumapili kwa ajili ya mchezo wa marudiano.

Mechi hiyo ambayo inatara­jiwa kuwa na ushindani mkubwa itachezwa Desemba 4, mwaka huu kwenye Uwanja wa Ma­vuso Sport Centre uliopo jijini Mbabane nchini Eswatini.

BONYEZA HAPA ===> SALEH JEMBE SPORTS
👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
Kwa wasomaji wa Blog yetu pendwa ya michezo akikisha una nifollow INSTAGRAM kwa kubonyeza link iliyopo hapo Juu tutakudodoshea Upates zote za michezo kuanzia sasa.

Asante


BONYEZA HAPA ===> SALEH JEMBE SPORT

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic