December 4, 2018


Habari njema kwa mashabiki wa Yanga ni kwamba tayari kiungo fundi ameshanasa kwemnye rada za timu hiyo, na muda mfupi kuaniza sasa atashushwa kundini.

Uwezo wake wa kutandaza soka hauna tofauti na ule wa kiungo wa timu hiyo Feisal Salum 'Fei toto' ambaye kwa sasa ni nguzo mahiri ys kikosi hicho kinachofundishwa na Mkongomani Mwinyi Zahera.

Kiungo huyo si mwingine bali ni Kenny Ally ambaye sasa anaitumikia Singida United lakini pia amewahi kuichezea Mbeya City kwa mafanikio makubwa. 

3 COMMENTS:

  1. Mwe watz buana. Jembe lenyewe eti kutoka Singida United. Wenzenu wanashusha vifaa toka Cote de Voire, nyinyi mnahangaika humuhumu. Ndio maana timu inawaza kuchukua ubingwa wa Tanzania, inapoenda mechi za kimataifa hoi, maana ilisajili wa kucheza ligi kuu tu. Kuweni na mikakati ya kuvamia anga za kimataifa.

    ReplyDelete
  2. Mikakati ya anga za kimataifa bila kushinda game za home utaendaje huko???

    ReplyDelete
  3. Excellent website. I was looking for good sports toto sites and found you site scrolling my mouse pointer on the web page. Thank you very much for providing nice info and also video was very enjoyable.안전놀이터

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic