December 28, 2018







Mkazi wa wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya Malakyese Joseph Anyosisye ambaye ni dereva, amejishindia bonas ya Sh milioni 32,115,560 katika Jackpot ya SportPesa ya mwisho wa wiki baada ya kubashiri mechi 13 na kushinda mechi 12 kati ya hizo.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa kukabidhiwa fedha zake na Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa SportPesa Tanzania Tarimba Abbas, mshindi huyo alisema kuwa amekuwa akibashiri mechi kupitia SportPesa kwa siku nyingi bila kushinda lakini hakuwahi kukata tama kwani alijua ipo siku atakuwa mshindi.

Huu ni mchezo wa bahati nasibu. Unaweza kubashiri mara moja na ukashinda lakini pia unaweza usishinde. Ninachoweza kuwaambia Watanzania ni kuwa kila mtu anayo nafasi ya kuwa mshindi. Naomba wapenzi wa soka waamini kuwa ukibashiri na SportPesa unabaki kuwa mshindi na leo ni ushuhuda mzuri kwani ndio mara ya kwanza nasafiri kuja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukabidhiwa pesa zangu za ushindi, alisema Joseph.

Joseph aliongeza kuwa anayo furaha tele kwani SportPesa imemfanya aweze kutimiza malengo yake ya kuwa mfanyabiashara. Nilikuwa na ndoto za siku moja kuja kuwa mfanyabiashara. Shinda ilikuwa ni mtaji. Nawashukuru sana SportPesa kwani kwa kutumia elfu mbili tu nimeweza kupata mtaji wa kufanya biashara. Vile vile, naomba nitoe wito kwa Watanzania waendelee kubashiri kwa SportPesa kwani kila mtu anayo nafasi ya kuwa milionea kama mimi.
Kwa upande, Mkurugenzi wa Utawala na Sheria SportPesa Tanzania Tarimba Abbas alimpongeza Joseph kwa kuweza kupata bonas ya zaidi ya  Sh 32 milioni. Kwanza natoa pongezi nyingi kwa mshindi wetu huyu. Hii inaashiria ni kwa jinsi gani sisi SportPesa tumedhamiria kubadilisha maisha ya Watanzania kwa kupitia mchezo wa soka.
Abbas aliongeza kuwa kila Jackpot ya wikiendi kunakuwa na ushindi wa Zaidi ya Sh milioni 429. Hata hivyo, pale ambapo mshindi anapopatia mechi kuanzia 10 mpaka huwa anapata bonas. Kwa hivyo ndio maana tunasema kila mtu anayebashiri na SportPesa ni mshindi.
Abbas kuwa kama kuna mpenda sokoa ambaye bado hujawahi kucheza na SportPesa basi kupitia mitandao yote ya simu (Tigo, Voda Airtel, Zantel na Halotel) anapaswa kupiga *150*87# au tembelea www.sportpesa.co.tz KUWEKA UBASHIRI wako mara nyingi zaidi ili uweze kushinda Jackpot pamoja na kujishindia zawadi mbalimbali kama Bajaji, Simu za mkononi, Jezi orijino pamoja na tiketi ya kwenda kushuhudia mubasharamechi za ligi kuu Uingereza na Hispania aliongeza Abbas.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic