Kuelekea mechi ya SportPesa CUP kati ya Simba dhidi ya AFC Leopards, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa timu zinazokutana zina majina ya wanyama wakali.
Kocha wa Yanga hana mbinu anaongea sana na vyombo vya habari badala ya kujikita kukisuka kimbinu timu yake.....watu wanaaminishwa ubora wa timu lakini kiuhalisia beki mbovu sana hata golikipa hawana formation ya kucheza kwa mbinu....Kocha msanii sanii tu Kombe hili anachukua Simba au Gor Mahia. Yanga wasipofanya mageuzi katika beki na viungo vyao jinsi wanavyocheza na kukaba pindi wanapoteza mpira wataendelea watapoteza mechi nyingi....KAMA NI MDAU WA YANGA UNASOMA UJUMBE HUU FIKISHA KWA HARAKA SANA UJUMBE KWA KOCHA

ReplyDeletecomment haihusiani na Kilicho andikwa au ndo kuchanganyikiwa?
ReplyDelete