MWALALA: SIMBA SC WATAZIDI KUNICHUKIA
Kocha Mkuu wa Bandari ya Kenya, Bernard Mwalala amefunguka kuwa, matokeo aliyoyapata jana dhidi ya Simba yatazidi kuongeza chuki dhidi yake kutokana na historia aliyoiweka wakati akiichezea Yanga.
Mwalala anashikilia rekodi ya kuipa ushindi Yanga dhidi ya Simba kipindi akiichezea klabu hiyo, baada ya Simba kutawala kwa muda mrefu kwenye michezo ambayo ilizikutanisha klabu hizo kubwa Bongo.








0 COMMENTS:
Post a Comment