TEMEKE: ILI UPIGE MUZIKI KWENYE SHUGHULI LAZIMA ULIPE TSH 50,000
Manispaa ya Temeke itaanza kutoza TZS 50,000 ili kutoa kibali kwa mtu anayetaka kufanya shughuli za kijamii zikiwemo kupiga muziki kwenye kumbi/baa, harusi, sendoff, jando na unyago (ngoma), sherehe za siku ya kuzaliwa. Tozo hiyo itaanza rasmi 1 Februari 2019.









0 COMMENTS:
Post a Comment