January 13, 2019

10 COMMENTS:

  1. Mashabiki wa Yanga mnaidhalilisha nchi kushangilia wageni ni mara mia bora mkaae nyumbani kuliko kuja uwanjani na kushangilia mwishoni aibu inawakuta Simba itashinda tu....huu ni mkakati (TFF, Simba wanachama, wageni, Serikali kuu, serikali ya mkoa na Jeshi la Polisi na wadhamini au wawekezaji wa klabu ya Simba) pointi 9....kwa mchina lazima....nguvu moja....ni kauli mbiu kwa vitendo....

    ReplyDelete
    Replies
    1. sasa ulitaka wakushangilie wewe na mkeo chumbani?

      Delete
    2. mbona mnasema maneno makali sana ndugu zangu huu ushabiki utawaweka pabaya

      Delete
    3. Mpira hauna mipaka, si ajabu kushangilia timu ngeni katika level ya vilabu1 Ingekuwa timu ya taifa sawa!

      Delete
  2. Lishamba tu hilo. Angetukana Manara .Mitandao ingelipuka kwa kushutumu .
    Manara ni big brand.

    ReplyDelete
  3. Simba inaweza bhana! hilo lazima tulikubali. Hata wale jamaa zetu wa upande wa pili jana walikuja Taifa wakiwa na mabango yameandikwa "NO YOU CANT, SAOURA IS KISIKI CHA MPINGO", wale jamaa hata sikuwaona tena na bango lao! sijui walitokea mlango gani! nadhani hata kujuta walijuta juu ya muda na gharama walizotumia kuliandika bango lile!. Itawabidi mpende tu sasa, soka safi mmeliona tena la burudani, na bado magoli mmeyaona yote ni magoli ya akili na ya mateso makubwa kwa wapinzani. kubalini tu jamani.

    ReplyDelete
  4. Halafu nahisi huyu Ten ndiye atakuwa amehusika kuandika bango lile la "NO YOU CAN'T, SAOURA IS KISIKI CHA MPINGO", Kaishiwa hana jipya, hakika pongezi zake hazina tofauti na Jeri Muro.

    ReplyDelete
  5. TFF ijitathmini namna inavyoendesha soka la Tanzania....kwani kumekuwa na malalamiko ya upendeleo na kuzipangia unafuu ratiba ya mashindano baadhi ya klabu fulani na kuzikandamiza nyingine....sijata timu hizo ila mwenye macho haambiwi tazama

    ReplyDelete
  6. mimi ni shabiki wa yanga ninayeishi nchi za kiarabu kusema kweli hii tabia ya kushangilia timu pinzani zinapokuja kucheza Tanzania hua zinaniudhi sana na hii ni tabia ya washangiliaji wa timu zote mbili SIMBA na YANGA kwa hiyo muache ushamba huo NA SI UZALENDO maana hapa tunachekwa sana na wamisry na mataifa mengine kwa kufanya kitendo kama hicho ambacho huwezi kukiona kwa timu za wenzetu. HAPA TIMU YOYOTE YA WATANZANIA INAPOFUNGWA TUNAOZOMEWA NI SISI WATANZANIA SABABU HAO NI WAWAKILISHI WA TANZANIA

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic