Siku zote ukikutana na mwanamuziki Shilole kitu pekee kitakachokujia akilini kwa haraka ni kile kiingereza chake cha kuunga unga ambacho kwakweli kimemfanya aongeze umaarufu wake na watu wengi kumpenda.
Sasa kwenye video hii Shilole kakutana uso kwa uso na waandishi wa habari alichokifanya hakifai kusimuliwa wewe tazama mwenyewe.
0 COMMENTS:
Post a Comment