February 10, 2019




Kikosi cha Al Ahly kinatarajia kufanya mazoezi leo kwenye Uwanja wa Gymkhana ikiwa ni mara ya kwanza baada ya kutua nchini.

Al Ahly wako nchini kwa ajili ya kuwavaa Simba katika mechi yao ya nne ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.


Ahly wametoa usiku wa kuamkia leo wakitokea Cairo, Misri tayari kwa mechi hiyo huku wakiwa na kumbukumbu ya kushinda mabao 5-0 dhidi ya Simba katika mechi iliyopita.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic