KIKOSI cha Yanga kitakachoazna leo mchezo wa ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania Uwanja wa Mkwakwani Tanga saa 10:00 Jioni.
1.Ramadhan Kabwili
2.Paul Godfrey
3.Gadiel Michael
4.Andrew Vincent
5.Abdallah Shaibu
6.Feisal Salum
7.Mrisho Ngassa
8.Papy Tshishimbi
9.Amiss Tambwe
10.Ibrahim Ajibu
11.Pius Buswita
Kikosi cha akiba
1.Klaus Kindoki
2.Juma Abdul
3.Kelvin Yondani
4.Mohamed Issa
5.Haruna Moshi
6.Deus Kaseke
7.Matheo Athony
1.Ramadhan Kabwili
2.Paul Godfrey
3.Gadiel Michael
4.Andrew Vincent
5.Abdallah Shaibu
6.Feisal Salum
7.Mrisho Ngassa
8.Papy Tshishimbi
9.Amiss Tambwe
10.Ibrahim Ajibu
11.Pius Buswita
Kikosi cha akiba
1.Klaus Kindoki
2.Juma Abdul
3.Kelvin Yondani
4.Mohamed Issa
5.Haruna Moshi
6.Deus Kaseke
7.Matheo Athony
Hakuna meneja hapo.Abdalla Shaibu anaweza kusimamishwa na TFF pia Fei Toto anaweza kupata kadi ya njano ya tatu. Kwanini wajumuishwe Leo. Halafu blog hii si ndiyo uliyeweka kuwa Zahera hajui Ninja yuko wapi.
ReplyDeleteLabda ndiyo maana Yondani yuko hapo chini mkuu ili kusaidia hapo pa Shaibu? Lakini nafkiri pia Fei Toto amekuwepo kwa sababu ya Kamusoko kupata majeraha. Tatizo hiki kikosi ni kifinyu sana ndiyo maana tunachezesha wale wale tu.
DeleteHii timu ni kauka nikuvae.Halafu kelele nyingi.
ReplyDeleteYanga acheni longolongo nyingi kwenye magazeti mara kifaa kipya kimeshuka,mara mbadala wa nani amekuja,sasa hivi itasaidia nini wkt muda wa usajili umeisha na ligi ndio kwanza Mbichi.Muda mlipewa wa usajili mkadanganya watu mara tuko kwenye mazungumzo na mchezaji fulani ubabaishaji mtupu.Wkt mwaka huu ilikuwa kuna kila dalili kwamba YANGA Bingwa,lkn kwa uzembe waliofanya wahusika wa usajili,kutoengeza wachezaji wa uhakika ktk dirisha dogo,naona nafasi finyu ya ubingwa na wala wasimtafute MCHAWI,wachawi wao wenyewe kwa kosa la kutosajili.
ReplyDelete