February 3, 2019


Klabu ya soka ya Simba imekubali kipigo cha goli tano kwa sifuri kutoka kwa Al Ahly ya Nchini Misri katika michuano ya kombe la mabingwa barani Afrika CAF.

Kipigo hiko kinaifanya Simba kuwa na jumla ya magoli ya kufungwa 10 kwa 3, na ikumbukwe simba katika kundi D imeshinda mchezo mmoja tu dhidi ya JS Soura.

Kufuatia matokeo hayo Global TV imemtafuta Mchambuzi wa masuala ya soka, Saleh Ally Jembe, ambaye amechambua mchezo huo ambao kwa kiasi kikubwa Simba walionekana kuzidiwa hasa katika dakika 45 za kipindi cha kwanza.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic