FULL TIME
Dakika 90 zinakamilika Mkwakwani Tanga, JKT Tanzania 0-1 Yanga.
Dakika 90 zinamalizka zinaongezwa dakika tatu kwa sasa.
Dakika ya 89 Said Luyaya anakosa bao la wazi akiwa eneo la hatari la Yanga.
Dakika ya 81 Tambwe anapata dhoruba kwenye kifundo cha mguu.
Dakika ya 80 Ally Bilali wa JKT anapaisha mpira akiwa eneo la hatari.
Dakika ya 78 Kabwili kichwa kilichopigwa na Matelema.
Dakika ya 76 JKT Tanzania wanapata faulo baada ya Fei Toto kuunawa mpira.
Dakika ya 76 Kelvin Yondani
Dakika ya 72 JKT wanafanya shambulizi kupitia kwa Anuari unaishia miguuni mwa Tshishimbi.
Dakika ya 71 Anuary Kilumile anapiga kona inayochezwa na wachezaji wa Yanga , Godfery anautoa nje inakuwa kona tena haizai matnda.
Dakika ya 70 JKT Tanzania wanafanya shambulizi kupita Bilali linazuiliwa na Tshishimbi.
Dakika ya 68 Yanga wanafanya shambulizi kupitia kwa Kaseke.
Dakika ya 67 Deus Kaseka anaingia anatka Ajibu anampa kitambaa cha unahodha Tambwe.
Dakika ya 66 Kabwili anaokoa shuti la JKT Tanzania na kupiga mpira nje ili apewe matibabu.
Dakika ya 64 Kabamba anapeleka mashambulizi kwa JKT wanazuilwa na George.
Dakika ya 63 Ally Bilali anafanya shambulizi kwa Kabwili liapaa mawinguni.
Dakika ya 62 Andrew Vincent anaonyeshwa kadi ya njano.
Dakika ya 61 Yanga wanapata faulo inayopigwa na Ajibu baada ya Fei Toto kuchezewa rafu.
Dakika ya 59 Godfrey anachezewa ndivyo sivyo na mchezaji wa JKT.
Dakika ya 58 Mohamed Issa anaingia akichukua nafasi ya Mrisho Ngassa.
Dakika ya 55 Tambwe anageuka na mpira akipokea pasi ya Paul Godfrey linaishia mikononi mwa mlinda mlango wa JKT.
Dakika ya 54 JKT Tanzania walipata kona ambayo ilishindwa kuzaa matunda baada ya Shiboli kuukosa mpira
Dakika ya 53 JKT wanaingia eneo la hatari wanashindwa kuwa watulivu wanapoteza mpira
Dakika ya 52 JKT Tanzania wanapoteza mpira uliokuwa kwenye uiliki wa Mwinyi Kazimoto kwa kuutoa nje.
Dakika ya 50 JKT wanafanya shambulizi eneo la Yanga mpira unishia kwenye miguu ya Ngasa anaondoa hatari.
Dakika ya 27 Feisalim Toto anafunga bao baada ya juhudi za timu kwa pamoja akipokea pasi ya mpira wa Gadiel Michael.
Mchezo kwa sasa ni mapumziko Uwanja wa Mkwakwani Tanga.
Mashabiki leo waliojitokeza Uwanjani ni wachache kushuhudia mchezo.
JKT Tanzania wanatumia nguvu nyingi sana Uwanjani hali iliyopelekea mchezaji wao Ally Shiboli kuonyeshwa kadi ya njano.
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteMbele nyuma mwiko
DeleteGOOD YANGA DAIMA MBELE
ReplyDelete