February 19, 2019



Lyon 0-3 Simba 
Uwanja Amri Abeid Arusha


Dakika ya 90+3 Lyon wanamfuata ManuLa, Gyan anaanua na filimbi ya mwisho inapulizwa.
Dakika ya 90+2 Lyon wanapata kona
Dakika ya 90+1 Bocco anaotea

Dakika 90 zinakamilika zinaongezwa dakika 3

Dakika ya 88 Lyon wanato mpira nje, Bocco, Abdul anapiga shuti linadakwa na mlinda mlango wa Lyon

Dakika ya 85 Dilunga anatka anaingia Abdalah Seleman

Dakika ya 83  Manula anaanzisha mashambulizi kwenda Lyon

Dakika ya 80 Wawa anatoka nje anaingia Mliili

Dakika ya 80 Kona ya pili wanapiga Lyon, Niyonzima anaokoa, mchezaji wa Lyon yupo chini anaonyeshwa kadi ya njanoBenedict Jacob 
Dakika ya 78 Niyonzima anapiga pasi mpenyezo inatoka nje, Abidl Nasoro,Mwasika Salamba anaanua, Niyonzima, Kwasi anatoa nje
Dakika ya 77 Ngonyan anapeleka mashambulzi kwa Manula, wanapata kona ya kwanza Lyon inapigwa na Jabir Aziz Simba wanaanua.
Dakika 76 Bocco anaotea

Dakika ya 75 Mtikila anapeleka mashambulizi yanaishia kwa Manula, Niyonzima, Gyan,Dilunga, Gyan mlinda mlango anaokoa.

Dakika ya 74 Rashid Mtabwiga anaingia Jonas Mkude

Dakika ya 73 Juma, Yassin, Bocco anacheza rafu. Dakika ya 70 Rashid Juma, Bocco,Gyan, Boco anachezewa rafu Bocco.

Dakika ya 71 Niyonzima, Bukaba, Juma unishia mikononi mwa mlinda mlango wa Lyon.
Dakika ya 69 Bukaba anachezewa faulo


Dakika ya 68 Lyon wakiwa eneo la hatari wanacheza faulo, Wawa anaanzisha Bocco, Jumaanaendesha baskel anatoa pasi inapotea


Dakika ya 67 Bocco anakosa nafasi ya kufunga

Dakika ya 66 Lyon wanaanza safari kwa Manula,Mtikila, Juma,Mussa, Mzamiru anaondoa hatari.

Dakika ya 64 Ngonyani anazisha mashambulizi, wanapata faulo mabeki wa Simba wanaanua.

Dakika ya 63 Lyon wanamfuata Manula, maeki wanazuia, mpiraunarushwa na Lyon Said Mtikia anapoteza mpira.

Dakika ya 62 Gyan anaruha kwenda Lyon , mabeki wanaondoa, Wawa mpira unatoka nje

Dakika ya 59 Gyan, Niyonzima anawekwa chini na mchezaji wa Lyon, Gyan anajaza ndani mlinda mlango wa Lyon anaudaka, mchezaji wa Lyon anatoa nje mpira unakwa ni wakurushwa na Gyan, Salmba inakamatwa na mlinda mlango.

Dakika ya 57 Benedict anachezewa rafu na Bukaba, Mwasika anagongana na Gyan akiwa eneo la hatari

Dakika ya 54 BenedictJacob anatoka anaingia Ramadhani Chombo.

Dakika ya 53 Kwasi anarusha kwake Rashid Juma anapiga pasi ndefu inapotea.
Dakika ya 52 Niyonzima anapoteza mpira mbele ya Lyon

Dakika ya 51 Alfan Mbaruku anatoka anaingia Adil Nassoro

Dakika ya 51 Bocco anapiga pasi matata inagonga mwamba baada ya mchezaji wa Lyon kuondoa hatari inakuwa kona ya kwanza

Dakika ya 50 Yasin anapiga mpira Charlse anaweka kwenye himaya

Dakika ya 49 mlinda mlango wa Lyon Kisembo anafanyiwa mabadiliko anaingia Thony Charlse

Dakika ya 46 Rashid Juma anakokota mpira na kutoa pasi inayomkuta Bocco anamalizia kwa guu lake la kulia Kipindi cha pili kinaanza
Mlinda mlango wa Lyon anachelewa kwa sekunde kadhaa kuingia uwanjani.

Matokeo Megine kwa muda wa Mapumziko

Coastal Union 1-0 Azam FC
Mfungaji wa Coastal Ayoub Lyanga dakika ya 45+2

Mwadui FC 1-0 BIASHARA United

RuvuShooting 0-0 Kagera Sugar.




MAPUMZIKO

45 zinakamilika zinaongezwa dakika 4


Dakika 40+4 Simba wanaanza mashambulizi

Dakika 40+3 Lyon wanaanza safari kwa Manula
Dakika ya 40+2 Simba wanaanza mashambulizi kwa Lyon
Dakika ya 40+1 mashambulizi Lyon kwenda kwa Lyon.

Dakika ya 45 Simba wanaanza mashambulizi

Dakika ya 44 Niyonzima, Gyan,Bocco mlinda mlango anatema Salamba anamalizia na kukimbilia kwa mwalimu wake wa viungo.
Dakika ya 43, Niyonzima, Bocco, Juma, Salamba anaotea akiwa amepasiha mawinguni mpira.

 Dakika ya 42 Rashid anapaka rangi mpia akiwa eneo la hatari mabeki wanaizuia, Gyan , Niyozima anaenyeza ndani mabeki wanaokoa.

Dakika ya 41 Lyon wanapasiha mawinguni mpira kwa Manula, Yassin anapeleka pasi mbele inayomkuta Salamba anazidiwa maarifa na mabeki wa Lyon.

Dakika ya 40 Niyonzima anapoteza pasi akiwa karbu na eneo la hatari.
Dakika ya 39 Salamba anacheza rafu kwa mchezaji wa Lyon.
Dakika ya 38 Dilunga anapoteza mpira ndani ya box

Dakika ya 37 Gyan anatoa Boco, Lyon wanaanza kisha wanapoteza kwa Simba, wanafanikiwa kuupata na kupiga shuti linaishia kwa Manula.

Dakika ya 35 mchezaji wa Lyon yupo chini akipewa huduma ya kwanza pamoja na mlinda mlango

Dakika ya 34 Lyon wanaanza safari kwa Manula, Kwasi anaopata mpira na kuanza safari kwa Lyon mlinda mlango anaukamata.

Dakika ya 33 Lyon wnaanza safari nyingine kwa Manula, Gyan anarusha na safari kwenda Lyon inaanza mabeki wanaanua hatari, Lyon wanawatingisha Simba mabeki wanaanua.

Dakika ya 32 Lyon wanaanza safari kwenda kwa Manula.

Dakika ya 31 Boco analazimisha kuingia eneo la hatari anazuiliwa

Dakika ya 29 Lyon wanamfuata Manula

Bocco anafunga bao la penalti dakika ya 28 kwa mguu wa kulia.
Dakika ya 27 Lorrandi Msonjo wa Lyon anaonyeshwa kadi ya njano

Dakika ya 25 Niyonzima anapiga faulo inaonolewa eneo la hatari, Wawa anarudisha ndani mchezaji wa Lyon ananawa mpira.

Dakika ya 24 mchezaji wa Lyon anamchezea rafu Rashid Juma.
Dakika ya 24 Rashid Juma anapiga kicha kinachoishia mikononi mwa minda mlango wa Lyon.

Dakika ya 22 Niyonzima anapata majeraha kwenye mguu wa kulia anapewa huduma ya kwanza.

Dakika ya 21 Niyonzima aamchezea faulo mchezaji wa Lyon.

Dakika ya 21 Lyon wanafanya shambulizi kwa Manula.

Dakika ya 21 Rashid Juma anapoteza mpira akiwa eneo la hatari.

Dakika ya 20 Mzamiru anaondosha eneo la hatari mpira 

Dakika ya 19 Gyan anapaisha Mawinguni mpira

Dakika ya 18 Niynzima anapeleka mashambulizi kwa Lyon.

Dakika ya 17 Lyon wanaanza safari kwenda kwa Manula.

Dakika ya 16 Niyonzima anaunawa  mpira unapigwa na mlinda mlango wa Lyon.

Dakika ya 15 bukaba anamchezea rafu mchezaji wa Lyon.

Dakika ya 14 Simba wanakosa bao la wazi.

Dakika ya 14 Mzamiru anapeleka mashambulizi mbele.

Dakika ya 13 Lyon wanafanya mashabulizi kwa Manula.

Dakika ya 12 Lyon wanapaisha mpira mawinguni kwa Manula.

Dakika ya 11 Kwasi anamchezea rafu mchezaji wa Lyon.

Dakika ya 11 Simba wanapoteza mpira eneo la Lyon

Dakika ya 9 Niyonzima anapiga pasi inayoishia kwa mlinda mlango wa Lyon.

Dakika ya 08 Simba wanaotea tena

Dakika ya 7 Lyon walifanya shambulizi kwa Manula.

Dakika ya 6 Niyonzima alifunga bao ikiwa ni offside ya kwanza kwa Simba.

Dakika ya 5 Dilunga anachezewa rafu na mchezaji wa Lyon

Dakika ya 4 Lyon wanakosa nafasi ya wazi kwa Manula.

Dakika ya 3 Lyon wanaanza kumfuata Manula

Dakika ya 2 Kwasi anachezewa rafu na mchezaji wa Lyon.

Dakika ya 2 Gyan anapeeka mashambulizi Lyon.

Dakika ya 1 Mzamiru Yassin anamtafuta Bocco unakwenda nje ya lango.

Mwamuzi wa kati ni Erick Enocka.

MASHABIKI wamejitokeza kwa wingi leo Uwanja wa Amri Abeid kushuhudia mtanange kati ya African Lyon na Simba ambao ni wa Ligi Kuu Bara.

5 COMMENTS:

  1. This is simba buana,mjipange haswa,tunakula mpaka mifupa safari hii,manula tengeneza clean sheet uchukue kipa bora.

    ReplyDelete
  2. Wenye ligi wamerudi vimberumberu mjipange haswaaa.

    ReplyDelete
  3. This is simba buana,mjipange haswa,tunakula mpaka mifupa safari hii,manula tengeneza clean sheet uchukue kipa bora.

    ReplyDelete
  4. Lambalamba kashalambwa huko kwa wabondei.

    ReplyDelete
  5. Simba Wame Nikumbusha Wimbo Wa Juma Nature Na Kundi Lake La TMK Iliitwa Tatu Bila"(3-0) " Hao Lyon Walifikiri Kwamba Wakitupeleka Arusha Tuta Droo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic