UJUMBE MZITO: RUGE NAOMBA UNISIKILIZE KIDOGO
Waziri wa ofisi ya makamu wa rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira, January Makamba amemwandikia mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, RUGE MUTAHABA ujumbe mzito utakaokutoa machozi.
"Ndugu yangu Ruge, najua umewasili huko upande wa pili na si ajabu unamambo mengi na bado unasalimiana na jamaa zetu wengi waliotutangulia."
0 COMMENTS:
Post a Comment