VIDEO: TFF YAJA NA NENO DHIDI YA SIMBA NA YANGA
Shirikisho la soka nchini (TFF) limezungumza mchezo utakaowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga utakaochezwa Jumamosi ya Februari 16 mwaka huu katika uwanja wa Taifa jijini Dar.
Akizungumza na wanahabari Ofisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo amesema maandalizi yote yamekamilika na kuwataka mashabiki kujitahidi kununua tiketi mapema ili kuepusha usumbufu siku ya mwisho.
Hii TFF vipi lakini? Kwanini wameshindwa kuja neno dhidi ya mechi ya kesho kati ya Simba na El ahly? Actual hatujasikia TFF ikiema lolote dhidi ya Simba katika ushiriki wake wa club bingwa.
ReplyDelete