February 22, 2019

2 COMMENTS:

  1. Zahera aliipa ushindi Simba au Patric Ausems aliipa ushindi Simba kwa kugundua madhaifu ya Zahera? Yaani kufungwa goli moja Yanga na Simba inaonekana kama kashinda na kitu muhimu hapa ni points 3. Zahera na Yanga walitumia mbinu zote wanazozijua wao ili waifunge Simba lakini matokeo amepigwa pale Taifa kwanini watu wanashindwa kumpa heshima yake kocha wa Simba?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kaka usibishane na mbumbu ama sivyo utajikuta na wewe unaishia kuitwa mbumbu maana watashindwa kutofautisha nani ni mbumbu.Yanga aliingia uwanjani ili ashinde na sio kushindwa.Ndio maana Yanga alitumia mbinu za kimpira ili ashinde lkn alizidiwa mbinu na Simba.Ubao wa uwanjani ulisomeka FT Yanga 0 Simba 1...na possession Yanga 40% na Simba 60%.Sasa kwa takwimu hizo sijui utabishana nini zaidi ya kuishia ulimbukeni tu.
      Kwa maoni yangu naiona Simba inazidi kupandisha kiwango na imeanza kucheza soka lenye malengo na la kitabuni lkn wazidi kujituma hasa na kuongenza wachezaji wa beki ya kati na mshambuliaji mwingine mwenye nguvu kama Meddie Kagere.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic