February 21, 2019

Shabiki wa Yanga Jimmy Kindoki ambaye alimuweka mke wake bondi kwenye mchezo wa watani wa Jadi Yanga dhidi ya Simba uliofanyika jumamosi katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0.

Kindoki alimuweka mke wake bondi endapo timu yake ikifungwa na simba mke wake achukuliwe na shabiki wa Yanga ambaye amemtaja jina. 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic