March 1, 2019

3 COMMENTS:

  1. Mmmmh
    Pasua kichwaa 😎😎😎

    ReplyDelete
  2. Kuondoka kwa Dokta Slaa.Patrobasi katambi,Mwita waitara,Julius Mtatiro na vijana wengi wasomi na wapinzaani hasa wenye nafasi za ubunge kwa upinzani nchini hasa Chadema ulikuwa ni wakati muafaka kwa upqnde wa upinzani kujitathmini hasa kulikoni? Lakini kama vile fikio la kufa siku zote huwa halisikii dawa kwani wapinzaani nchini wakiongozwa na muelekeo wa siasa za kijinga chini ya muungozo wa Zito kabwe na Tundu Lisu waliendelea kupinga juhudi za wazi wazi za serikali iliopo madarakani za kuwaletea watanzania maendeleo yao. Watanzania wengi sio wapumabavu na Edward Lowasa akiwa miongoni wao. Zile kamapeni za kisaliti anazoziendesha Lisu Duniani za kuitakia mabaya Tanzania kwa kisingizio cha kuichukia serikali iliopo madarakani sio rahisi kwa affisa wa jeshi mzalendo alieiva kwenye mafunzo ya utiifu kwa taifa lake kama Lowasa kukubali kuwemo kwenye kundi la wasaliti linaloongozwa na Tundu Lisu. Kwa kifupi tu kama wapo watanzania wanaofurahishwa na harakati za Tundu Lisu za kuipaka mavi Tanzania mchana kweupe na huku akizililia nchi za kigeni kuitenga Tanzania ili yeye tu Lisu kama Lisu peke yake ndio m'bora kuliko watanzania wote na maisha yake tu na familia yake ndio yenye thamani kuliko watanzania wengine na mustakabala wote wa Tanzania kwa mataifa ya kigeni yeye Tundu Lisu ndio mtu pekee anaeweza kuiamulia Tanzania mambo yake? Lisu anathubutu hadi kupambana na kumkejeli balozi halali kabisa ambae ni muakilishi wa nchi anaeliwakilisha Taifa kwa nchi kama Mareikani. Kwanza jeuri ile anaipata wapi Tundu Lisu ya kumtukana balozi hadharani kwenye live tv kwa kumwambia Muheshimiwa mashilingi kuwa ni mwanasheria wa hovyo? Kwa kweli Tundu amefika pabaya na kama kweli kuna watanzania wanaona anayoyafanya Lisu ni sahihi na wanafurahishwa na maneno yake ya hovyo kwa nchi yetu basi lazima watanzania hao wachunguzwe uhalali wa utanzaia wao kwani mtanzania halisi kamwe hawezi kufurahia kujizalilisha yeye mwenyewe binafsi kwa kuwafurahisha watu wengine. Anachoendelea kukifanya Tundu Lisu hivi sasa ni kutudhalilisha watanzania wote na hahihalisi upo wapi na sijashangaa hata kidogo kuona mtu kama Lowasa akiachana na chadema.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic