JUVE YAPINDUA MATOKEO UEFA RONALDO AKIPIGA HAT-TRICK, MAN CITY YAPIGA MTU 7-0 Timu ya Juventus imepindua matokeo kibabe kwa kuitandika Atletico de Madrid kwa jumla ya mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa huko Italy. Mabao pekee ya Juventus yamewekwa kimiani na Cristiano Ronaldo. Wakati huohuo Manchester City nayo imecharaza Schalke 04 ya Ujerumani kwa maba0 7-0
0 COMMENTS:
Post a Comment