March 4, 2019


Msemaji wa klabu ya Yanga ameandika ujumbe wa mafumno kuhusiana na Kocha Mkuu wa Stand United dhidi ya Simba.

Ujumbe wa Ten umeleeza kuwa Simba huwa haisemwi na kama ikisema basi kuna uwezekano Kocha Bilo akaitwa kwenye kamati.

Hatua hii imekuja mara baada ya Bilo kumlalamikia Mwamuzi wa mchezo wa leo dhidi ya Simba katika mchezo wa ligi uliopigwa CCM Kambarage na wao kushindwa mabao 2-0.

A

6 COMMENTS:

  1. Kaongelea tano tano? Amesahau mwaka jana wslikuwa wakipata ngapi ngapi toka kwa Gor Mahia na Rayon Sport..Tena had I nyumbani kwao kwa Mkapa?Bro vipi pale unapomkimbia anayekufukuza kwa kutumia moja moja wakati yeye anakunyatia kwa tatu tatu au mbili?Jiandae kisaikolojia kwa timu yako kushikilia uongozi wa ligi kuu muda wote halafu ikaambulia patupu.kwani itakapofika mwisho wa ligi itauchukua ubingwa timu nyingine!Kila mmoja achukua point zake tatu katika kila mechi

    ReplyDelete
  2. atakayecheka mwisho ndiye atakua arusini

    ReplyDelete
  3. Yanga naona sasa hivi wamemwajiri bingwa wa mashairi ya mipasho...Yanga wakimpiga chini anakula mkataba TOT...Fanya kazi achana na mipasho alafu kama kidume unajiamini si ufunguke live...Ntaongea na Jerry Muro akuchambue tujuwe wewe ni type ipi ya mwanaume,Watu kama nyie Jerry lazima atakuwa na profile zenyu.....Am out Jomabaa.

    ReplyDelete
  4. Endelea na dua zako za tano tano..Simba anaenda Algeria usitegemee safari hii atafungwa zile nne mlizolambishwa na USM Algers! Mkuu hesabu bahati zako..katika Mpira wa mguu unapopata goli LA kuongoza katika dakika ya 70 na kuendelea na hii hali imekuwa ikitokea karibuni kila mechi timu yako ikicheza..hiyo ni bahati kweli! kwa sababu muda siyo rafiki kwa timu pinzani kurudisha goli lililofungwa dak ya 70..Na ni zaidi ya asilimia 70 ya mechi zote Yanga wamekuwa wakipata point tatu baada ya kufunga goli LA kuongoza kuanzia dakika ya 70 na kuendelea

    ReplyDelete
  5. Wanaume tunaondo kesho kuchukua point 3 kisha twarudi kuchukuwa ubingwa wetu kwa mke wetu akiwa yupojikoni akitupikia twasubiri kula jioni yeye akiambulia arufu kwa kutuhifadhia chakula kwamuda kadhaa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic