KOCHA SIMBA NAYE AFUNGUKA KUHUSIANA NA ZAHERA KUTOA SIRI ZA SIMBA KWA VITA
Licha ya AS Vita ya DR Congo kupenyezewa taarifa kibao kuwahusu Simba kutoka kwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ambaye ni Mkongo mwenzao, lakini Aussems ametamka kuwa hata iweje Vita watakufa.
Vita tayari wapo Dar baada ya kutua usiku wa kuamkia juzi Alhamisi wakiwa tayari kwa ajili ya kupambana na Simba katika mechi ya mwisho ya Kundi D itakayochezwa leo Uwanja wa Taifa.
Wiki iliyopita Zahera alisema wazi kuwa atawapa mbinu Vita na yote anayofahamu kuhusu Simba kwa kuwa kocha wa Vita ndiye bosi wake katika timu ya taifa ya DR Congo na kwake siyo tatizo kutoa maoni yake anayofahamu licha ya kutambua hicho siyo kigezo sahihi kwa Simba kushinda.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira na Muungano, January Makamba ndiye ambaye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa mchezo huo.
Zahera alishindwa kumzuia kagere kutetema , ni siri gani anazoweza kuwapa As vita za kumzuia kagere
ReplyDeleteHuyu zahewa anakereketa
ReplyDeleteKila mtu hupenda apendacho,🐒0 vs 2 vita
ReplyDeleteKila mtu hupenda apendacho,🐒0 vs 2 vita
ReplyDeleteKaikimbia yanga iliyomleta halafu anajigamba kuipenda
ReplyDeleteHakuwa muadilifu kwa kazi yake baada ya kuikimbia yanga
ReplyDeleteWork pymepay yake nchini apa ajui kuwa ni yanga ina mfanya ajulikane arafu ana usaliti ngoja akipate cha moto this is simba chama kubwa
ReplyDelete