CHINIIII: MAUGO AKIWA AMEANGUKA BAADA YA KUSHINDILIWA KONDE NA DULLAH MBABE... |
Pamoja na maneno mengi ya mbwembwe, bondia Mada Maugo amejikuta akiambulia kipigo katika raundi ya tatu tu dhidi ya bondia Dullah Mbabe.
Katika mechi hiyo jana kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana. Maugo alikutana na kipigo hicho katika raundi ya tatu ikiwa ametwangwa kwa TKO.
Awali, Maugo alitamba kumuu Mbabe ili aweke heshima mjini, lakini mambo yakageuka.
0 COMMENTS:
Post a Comment