LeBron James wa LA Lakers amethibitisha yeye ni gwiji la mpira wa kikapu duniani bada ya kumvuka nyota mwingine Michael Jordan kwa pointi katika ufungaji katika NBA.
James alikuwa anashikilia nafasi ya 5 lakini sasa yuko nafasi ya nne na kama ataendelea anaweza kufikia nafasi ya tatu kwa kuwa Jordan na Kobe Bryant walishastaafu.
LISTI YA WAFUNGAJI BORA WA MUDA WOTE WA NBA
1 Kareem Abdul-Jabbar - 38,387
2 Karl Malone - 36,928
3 Kobe Bryant - 33,643
4 LeBron James - 32,311
5 Michael Jordan - 32,292
6 Wilt Chamberlain - 31,419
7 Dirk Nowitzki - 31,362
8 Shaquille O'Neal - 28,596
9 Moses Malone - 27,409
10 Elvin Hayes - 27,313 1
0 COMMENTS:
Post a Comment