March 18, 2019

2 COMMENTS:

  1. Nilichokioona kwa Simba na benchi lao la ufundi ni kama waliwaamininisha wapinzani wao ugenini kuwa Simba ni timu rahisi Kwa kukubali kufungwa kirahisi rahisi ugenini na inaonekana mtego wao ulifanya kazi vizuri. Kama sio Zahera wa Yanga hakuna ubishi As Vita walikuwa wapigwe kipigo cha aibu zaidi na Simba pale Taifa kwa Mkapa. Simba hawakutumia nguvu kubwa ugenini ndani ya uwanja lakini imekuwa ni timu ya tofauti kabisa inapocheza Taifa na sidhani kama ilikuwa ni mipango ya bahati mbaya ninachokiamini mimi ilikuwa ni mikakati maulumu . Hahihalisi wamefungwa katika uwanja gani kwa timu yenye uwezo wa kuzifunga timu kama Alahaly na As vita Africa ni lazima wapewe heshima yao kwa wanaofahamu soka la Africa. Kama Simba wakiamua kuchukua juhudi ya kutafsiri uwezo wanaouonesha pale uwanja wa taifa na kuhamishia ugenini basi hapana shaka ni moja ya klabu tishio barani Africa hivi sasa. Juhudi zifanyike ndani ya Simba kudumisha kiwango chao wanaweza kufika mbali zaidi walipofika sasa. Hongereni sana Simba .

    ReplyDelete
  2. Zahera kaenda kwao pamoja na Vita na kuiwacha yanga iliyoizomea simba yatima

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic