VIDEO: NAMNA MWALIMU KASHASHA ALIVYOLICHAMBUA BAO LA CHAMA, NI BALAA
Mchambuzi mkongwe wa sokahapa nchini, Mwalimu Alex Kashasha amelichambua bao alilofunga mchezaji wa Simba, Clatous Chama dhidi ya As Vita na kuipa nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
0 COMMENTS:
Post a Comment