March 3, 2019


HIZI hapa kushuka leo Uwanjani kumenyana kutafuta pointi tatu muhimu ikiwa ni mzunguko wa pili Ligi Kuu Tanzania Bara.

Singida United itamenyana na Prisons Uwanja wa Namfua Singida.

Mbeya City wataikaribisha Ndanda Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Kagera Sugar itamenyana na Lipuli ya Matola Uwanja wa Kaitaba, Kagera.

Stand United wataikaribisha Simba Uwanja wa Kambarage Shinyanga.

Mtibwa Sugar ni dhidi ya Mbao FC Uwanja wa Manungu, Morogoro.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic