VIDEO: KIGOGO MZITO YANGA AMWAGA SIFA KWA ZAHERA Baraza la Wadhamini wa klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake, George Mkuchika, limempongeza Kocha Mkuu wa Yanga kwa namna anavyojitoa kutimiza majukumu tofauti ndani ya timu.
0 COMMENTS:
Post a Comment