March 18, 2019


Miongoni mwa ma DJ Bongo waliojitengenezea heshima kubwa kupitia kazi yao ni pamoja na, John Dilunga, maarufu kama DJ JD, ambaye usiku wa kuamkia Machi 17, amefanya bonge moja la party la kusheherekea siku yake ya kuzaliwa katika ukumbi wa Club Legend.

Akipiga stori na Global TV, Dj JD, amezungumzia mtanange kati ya klabu ya Simba na Wakongo wa AS VITA Ambapo amewapongeza Simba kwa ushindi mkubwa walioupata.

Aidha DJ DD ametoa ushauri kwa  Ma DJ wachanga wanaochipukia kwa sasa kuwa wanatakiwa kujiamini na kufanya kazi zao kwa ubunifu mkubwa

1 COMMENTS:

  1. watu wanalalamika eti vyuma vimekaza kumbe sio kweli,kama vyuma vimekaza utafanya sherehe yako ya kuzaliwa ukiwa na umri mkubwa?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic