March 19, 2019



Uongozi wa klabu ya Yanga umekanusha taarifa zilizoeleza kuwa Kamati ya kuhamasisha michango Yanga chini ya Mwenyekiti Mh. Anthony Mavunde imetoa wazo kwa klabu ya kuwatoa Mwinyi Zahera na Ibrahim Ajibu kuwa watia sahihi kwenye akaunti mpya ya CRDB huku ikisema kamati hiyo imedai Zahera na Ajibu muda wowote wanaweza kuondoka Yanga ikawa.

Kupitia Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten, amekanusha taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika haya.




2 COMMENTS:

  1. Ingekuwa vema Zahera akatemwa kwani ni msaliti...aliomba kwenda Kongo kuaandaa timu wakati wachezaji wengi was timu ya taiga lake au walikuwa bado wakiichezea TP Mazembe au AS Vita...Halafu akajichimbia na AS Vita ambao jahazi lilizama dak ya 90!Pole Zahera...Pole Ombaomba FC mtabaka matopeni...ni kwa fadhila za Simba tu mtapanda ndege mwakani!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic