SIMBA YAPANDA KWA KASI YA 4G VIWANGO VYA SOKA AFRIKA, YAIACHA YANGA KWA NAFASI 34 Baada ya kupanda kutinga hatua ya robo fainali katika Ligi ya Mabingwa barani Afrika, timu ya Simba imepanda kwenye viwango vya soka Afrika. Tazama hapa hapa namna mambo yalivyo.
Dismas Ten....soma hiyo kulee ni ngapi!
ReplyDeleteSijui macho yanga AS VITA sijaiona aiseee!
ReplyDeleteInabidi upimwe macho kwani listi hii aliyeandika alianza na timu ya 15.Kwa hiyo timu 14 za kwanza hakuziweka.
ReplyDeleteItakuwa Yanga na AS Vita ziko Kule juu kati ya 1 na 15
DeleteLengo LA listi ni kuonyesha nafasi za timu za Tanzania..hakuna mtanzania yuko interested na timu za Afrika kaskazini
DeleteAS Vita ni ya 5 na Yanga ni ya 54
ReplyDeleteNi sahihi kabisa hivyo ndivyo viwango vya soka Afrika , timu za Tanzania zizidi kufanya vema tu zitafika mbali
ReplyDelete