ACHA KABISA!! MANARA AWACHANA VIKALI WAKONGO, AMTAJA ZAHERA Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, kuhusiana na taarifa iliyoandikwa na ukurasa ambao unaonekana unamilikiwa na watu wa Congo kwenye Instagram, ulioeleza kuwa Simba huwa inafanya fitna kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Tutashinda ndani na nje Ya uwanja
ReplyDeleteUtuachie zahera wetu we manara fuatilia ya Simba🗽🗽🗽🗽🗽🗽
ReplyDeleteZahera wenu keshaachwa na Yanga yenu mbovu. N hana muda mrefu anawakimbia huyu. Unadhani kuna kocha yeyote Duniani anapenda kupoteza pointi!
DeleteFukuza nyota wako kila anayedai malipo yake mpaka kieleweke ikiwa wao au wewe
ReplyDelete