April 14, 2019

10 COMMENTS:

  1. Hapo Zahera anachekelea!

    ReplyDelete
  2. Wakipiga kelele simba anapendelewa sasa tizameni hizo mechi

    ReplyDelete
  3. Yanga kupga kelele lazma, mfano mdogo alicheza tanga akaenda mwanza af akarudishwa tanga, simba mbeya anapga mech zote ndo anaenda kituo kingne

    ReplyDelete
  4. Hawa TFF sijui bodi ya ligi ni bure kabisa. Tarehe ishirini na 26 Simba anacheza mechi.Na ishirini na nane 28 Simba anacheza tena. Yaani Simba watacheza mechi za ligi kila baada ya siku mbili? Yaani hapa ndio inaonesha dhahiri yakwamba wasimamizi wa mpira Tanzania ni watu wa hovyo na hawajui nini wanachokifanya.Hawa wachezaji ni binaadamu na sio machine hata machine ikiwa overworked inashindwa kufanya kazi. Huwezi kuipangia timu icheze mechi tatu ndani ya wiki moja ni uchizi kabisa. Hao wachezaji watapumzika muda gani? Watafanya mazoezi muda gani? Yaani hii ratiba ya ghadhabu kwa Simba ni Asante ya TFF kwa Simba kwa kuiwakilisha nchi vyema Africa? Vitu vingine ni vya aibu kwa taasisi kushindwa kutimiza majukumu yake ipasavyo na kutupia mzigo kwa wengine. Yanga na Azam wana mechi ya raundi ya kwanza na ya pili bado hawajacheza sasa shindo lote kwa Simba la nini?

    ReplyDelete
  5. SAFI SANA NYIE SI MNA KIKOSI KINEENE MMEBEBWA SASA MUDA WA KUWATUA SIKUZOTE MZIGO HUNYANYULIWA KWA ADABU ILA HUTULIWA KWA GHADHABU KUTOKANA NA MAUMIVU YA SAFARI NA UZITO GOOD TFF.

    ReplyDelete
  6. Mwandishi umekosea,hi Ni ligi ya Simba,sio tpl,na watashinda zote kwa nguvu ya miamala- si wengine watakuwa wamesimama huku naye akijua anataka nini- Ni wakati muafaka timu zote kuungana kuwakataa viongozi wa bodi,vije vichwa vingine,itakuwa aibu bodi hiijinsi ilivyo kyendelea kusimamia ligi yetu msimu ujao

    ReplyDelete
  7. Hivi hizi nguvu za miamala no kwa Simba tu Kama uhakika upo nenda takukuru utasaidia maendeleo ya soka

    ReplyDelete
  8. Ndio tunakikosi kipana na si ndio mana wakati nyie mnachachatika sisi sauti ya mnyama wetu imesikika kote nanyi mkitandikwa na kutandikwa na huku mkifuza nyote kwakudai haki lakini mnaowaogopa wamefanya na wanafanya watakalo kimya muwatazam mkisema wana matatizo ya kifemelia au waumwa nyongo

    ReplyDelete
  9. tuna uwezo wakucheza kila siku tuna majembe yaliyo kamilika nipoa tu. SIMBA tunaweza kila lakheri MNYAMA

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic