KAPOMBE AANZA MAZOEZI KWA KASI SIMBA
Beki wa klabu ya Simba, Shomary Kapombe aameanza mazoezi mepesi.
Kapombe ameanza mazoezi hayo ikiwa ni baada ya kupona majeraha ya kifundo cha mguu aliyoyapata kwenye kambi ya timu ya taifa ya Tanzania huko Afrika Kusini.
Beki huyo wa kupanda na kushuka alipa majeraha hayo wakati Taifa Stars ikijiandaa na mchezo dhidi ya Lesotho.
Kapombe kwa sasa anafanya mazoezi ya GYM kurudisha mwili katika hali yake ya kawaida.








Kumbe mazoezi mepesi nayo unaweza kuanza kwa Kasi!!!
ReplyDeleteDuh!!
ReplyDelete