FT TP Mazembe 4-1 Simba
Goooool Okwi dk ya 2 Simba
Gooool Mazembe chongo dk ya 23 Mazembe
Goooool Elia Meshack dk ya 38 Mazembe
Goooool Tresor Mputu dk ya 62 Mazembe
Goooool Jackson Muleka dk ya 75 Mazembe
Simba wamefanya mabadiliko ametoka Mzamiru Yassin anaingia Meddie Kagere.
Juuko Murshid ametoka ameingia Chama
Okwi anatoka anaingia Rashid Juma dk ya 71
Mpira kwa sasa ni Kipindi cha pili
Dakika 45 zimekamilika imeongezwa dakika moja
MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali kati ya TP Mazembe na Simba unaendelea kwa sasa nchini Congo
Kwa sasa ni kipindi cha pili ambapo Simba imeanza kupata bao la kwanza kupitia kwa Emanuel Okwi akimalizia pasi ya Niyonzima.
Mazembe walisawazisha bao dakika ya 23 kupitia kwa Chongo na bao la pili dakika ya 38 kupitia kwa Meshack.
Mputu anafunga bao dk ya 62 baada ya kutumia makosa ya uzembe wa mabeki wa Simba.
Timu zote zimeanza kwa kushambulaina huku kila mmoja akitafuta sehemu ya kutokea.
Mashabiki wa Mazembe wamejitokeza kama wote kushangilia timu ya Mazembe huku wa Simba wakiwa wamejitokeza kiasi chake.
Tulipigwa vipigo viwili vya mbwa koko leo tumemaliza na kipigo kikali hadi tumechakaa.
ReplyDeletePamoja na vipigo viwili vya awali...bado Simba ilisonga mbele na ikazifunga AS Vita na All ahly.Sidhani Simba imechakaa na katika zoezi hili ndiyo kwanza imetoka mpya..Upande was pili ndiyo wamechakaa kweli!Na itakuwa chungu kulalia usukani wa ligi halafu kombe anachukua mwingibe.Hilo litakuwa pigo LA mbwa koko na kuchakazwa kweli!
DeleteHatupaswi kuisemea yanga huku bali swali la kujiuliza kipi kinatufanya tushindwe kucheza ugenini? Au nao wanatuwekea dawa kama jinsi tunatuhumiwa sisi tukiwa kwa mkapa?
ReplyDeleteCongratulation Simba. That is a glorious achievement and will remain in Tanzania soccer history
ReplyDelete