MWAMUZI ambaye atachezesha mchezo kati ya TP Mazembe na Simba, aliyeteuliwa na Shirikisho la Soka Barani Africa (CAF) rekodi yake inatisha.
Taarifa imesema kuwa baada ya Primero ya Angola kuitoa TP Mazembe katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita, wakakutana na Esperance ya Tunisia na Mwamuzi Jani Sikazwe wa Zambia ndiye akaamua mechi ya pili iliyowang'oa Waangola hao ambao walilalamika CAF na Sikazwe akasimamishwa.
Sasa CAF wameipa Simba Sikazwe na kumuondoa mwamuzi kutoka Ethiopia.
ulichokiandika hapo bila shaka umekielewa mwenyewe
ReplyDeleteUandishi wa aina hii ni ukanjanja, ndo maana wengine kuisoma taarifa inayotolewa na vyombo vya habari vya Tanzania na kuiamini imekuwa ngumu sana.
ReplyDeleteKama huna uhakika na taarifa sahihi bora ukae kimya, namna hii mnashusha hadhi ya blog zenu. Kichwa cha habari na habari yenyewe haviendani.
Msifanye wanaosoma blog zenu ni watu wasiojielewa kama wafuasi wa CCM walivyo.
ni kweli kabisa. hili jamaa nilisha sema fala kweli
ReplyDeleteWakati mwingine ni kichefuchefu kabisa please angalia kabla hujaleta kwa washika Dau
ReplyDeleteMwandhishi atakuwa experience yake ni kuweka comments instagram huyu!!
ReplyDeleteWewe ni mwandishi au mtunga insha...?
ReplyDeleteJamani eh huenda ndicho walichosema CAF
ReplyDelete