April 26, 2019




Jackpot ya SportPesa imeshika kasi wiki hii baada ya watanzania kushinda mamilioni ya fedha kutoka kila kona ya Tanzania. 

Jackpot hiyo kwa sasa imefika Tsh 624,242,540/= ambapo unaweza kushinda kwa Sh 2000/= tu endapo kama utapatia mechi zote 13 kwa usahihi.


Lakini hata ukipatia kuanzia mechi 10, 11 na 12 kuna Bonus kubwa zinatolewa kila wiki. Wiki imeanza vizuri sana kwa Ibrahim Godwin Lucumay ambaye ni mkazi wa Biharamulo baada ya kubashiri na kupatia mechi 12 kati ya 13 na kujinyakulia bonasi ya shilingi milioni 43,154,890/=.


“Nilivutiwa sana kucheza na SportPesa ni malipo papo hapo. Siku moja nilicheza multibet kwenye Kampuni ya SportPesa na Kampuni nyingine ya kubashiri, SportPesa walinilipa baada ya mechi ya mwisho kuisha na Kampuni nyingine
walinilipa baada ya siku 2. Kutoka hapo sikuwahi tena kucheza na Kampuni nyingine ambayo siyo SportPesa.


“Pia kilichonifanya niendelee kucheza na SportPesa ni baada ya kuona Jackpot imefikia milioni 200 ambayo haipo kwenye Kampuni yoyote.


“Matarajio yangu baada ya ushindi huu ni kuongeza kipato kwenye biashara yangu, kwakweli SportPesa imebadilisha Maisha yangu.”


Kwa upande wa SportPesa Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti,  Tarimba Abbas alianza kwa kumpongeza Bwana Ibrahim kwa kucheza na kutokata tamaa na hatimaye kuibuka na ushindi wa kiasi cha shilingi millioni 624,242,540/=.


“Huduma zetu kama alivyosema Bwana Ibrahim ni za haraka yani mara baada ya mchezo kuisha pesa huwekwa kwenye akaunti ya SportPesa papo hapo na lengo letu kuu ni kuhakikisha huduma zetu zitatolewa kwa wakati.”


Hata wewe unaweza kuibuka mshindi wa Tsh 624,242,540/= wikiendi hii. Bofya *150*87# au tembelea www.sportpesa.co.tz kucheza Jackpot ya SportPesa uwe Milionea kama brahim Godwin Lucumay.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic