April 26, 2019


 KIKOSI cha Simba leo kimetua Mara kibabe baada ya jana kubeba pointi tatu uwanja wa CCM Kirumba mbele ya KMC kitamenyana na Biashara United kesho uwanja wa Karume.

Akizungumza na Saleh Jembe, Mratibu wa Simba, Abass Ally amesema kuwa wachezaji wap salama na wana morali kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Biashara.

"Tupo salama tunashukuru baada ya kuvuna pointi tatu mbele ya KMC sasa hesabu zetu ni kuona tunaendelea kupata ushindi mbele ya Biashara United, mchezo utakuwa mgumu ila tumejipanga kupata matokeo chanya," amesema Ally

Simba ipo nafasi ya tatu ikiwa na pointi 66 baada ya kucheza michezo 26 itamenyana na Biashara United ambayo ipo nafasi ya 19 imejikusanyia pointi 34 baada ya kucheza michezo 31.

2 COMMENTS:

  1. Sahihisha sio ya tatu Bali no yapili kutokana na wingi wa magoli na Azam

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic