April 26, 2019


Mshambuliaji nyota wa Man City, Raheem Sterling ameshinda tuzo ya mpambanaji dhidi ya ubaguzi wa rangi Katia tuzo za BT Sport Industry Awards.

Sterling ameshinda tuzo hiyo kutokana na kuwa mchezaji ambaye amekuwa akipinga kwa juhudi kubwa ubaguzi wa rangi hasa michezoni.

Mara nyingi alikuwa akipiga vita ubaguzi kupitia mitandao ya kijamii na kusisitiza upendo.

Tuzo hiyo alikabidhiwa na kocha mkuu wa England, Gareth Southgate.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic